Tuesday, February 28, 2017

BONGO FLASH: STEVE NYERERE NI PANYA,MDANANDA,M'MBEAM'MBEA,STEVE NYERERE SIO STAA BY KHALID MOHAMEDI"T.I.D">>>>

RC DSM,MAKONDA & T.I.D
Huu ni mwezi m'baya kwa Steve Nyerere(BONGO MOVIE-ACTOR). Ni kwasababu kauli zake zimeendelea kumponza.
Hivi karibuni, kwenye mazungumzo yaliyovuja kati yake na mama yake na Wema Sepetu, alidai kuwa hitmaker wa Siamini, TID alipewa fedha na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili atoe hotuba kuhusu kuwa mtumiaji wa dawa za kulevya.
Mnyama-TID alimind mbaya na kutishia kumshtaki mchekeshaji huyo. Na sasa mkali huyo ameibuka na kumwelezea Steve kuwa si staa kwake, bali ni kama panya tu.
“Steve Nyerere sio staa kwangu, he is a mouse,” ameiambia E-News ya EATV.
“Ukimuangalia kwanza he is a mouse, to me, me I have been doing this talent na nimejijengea umaarufu kupitia kipaji changu, sio kupitia uongo uongo, udananda sijui umbea umbea, sijafanya hivyo,” ameongeza.
“I have been working very hard to make this name. Huwezi kuniambia mimi eti nimepewa milioni mbili sijui, unanidhalilisha, kwanza unanihatarishia maisha yangu mtaani mimi nionekane snitch, nimewasnitch wananchi, nimepewa milioni 3 sijui 2 kuconfess pale, why? Milioni mbili na maisha yangu?
TID amesisitiza,amemtaka Steve afike mbele ya mahakama athibitishe kuwa alichukua shilingi milioni 2, lasivyo patachimbika.....
 

No comments:

Post a Comment