Saturday, March 25, 2017

PICHA:HIVI NI NAMNA MWANAMUZIKI MKALI BARANI AFRICA,DIAMOND PLATNUMZ,ALIVYOWEZA KUZIKONGA NYOYO ZA WATU WA UARABUNI>>>

Usiku wa Ijumaa hii Diamond alifanya show kubwa ambayo ilihudhuriwa na umati mkubwa wa watu waliojitokeza kutoka sehemu mbalimbali katika mji wa Muscat nchini Oman. Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.
"BIG UP KWA DIAMOND KWA KUIWAKILISHA VIZURI TANZANIA"

No comments:

Post a Comment