Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Bibi Julieth Binyura amesema kufuatia hali hiyo,serikali mkoani humo imepiga marufuku biashara ya nyama hiyo, na usafirishaji wa nguruwe hai ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo. Bibi Binyura pia amesema wanavijiji wa wilaya hiyo wamearifiwa kuhusu ugonjwa huo. Ofisa mifugo wa Wilaya hiyo Bw Wilbrod Kansapa amesema nguruwe wanaoonekana wakirandaranda wanakamatwa.
Ufugaji wa nguruwe unaendelea kuongezeka katika maeneo mengi ya magharibi mwa Tanzania, kutokana na mahitaji makubwa kwenye miji mikubwa kama Dar es salaam,arusha,mbeya,mwanza n.k.
chanzo ama source ya taarifa CRI KISWAHILI

No comments:
Post a Comment