Tuesday, September 13, 2016

KIMATAIFA: DAVID CAMERON AJIUZULU PIA UBUNGE >>>>>>>>>

SIR DAVID CAMERON,FORMER BRITISH PRIME MINISTER
Ametangaza uamuzi huo Jumatatu hii.
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni karibu miezi mitatu baada ya Cameron kuachia ngazi kama waziri mkuu kufuatia kura za Uingereza kujiondoa kwenye umoja wa Ulaya, June mwaka huu.
Akiongea na TV MOJA YA HABARI NCHINI UINGEREZA, Cameron amedai kuwa alitumia muda kuamua kuchukua uamuzi huo mgumu lakini amedai kuwa angekuwa kikwazo kwa kazi za serikali.
Alikuwa ni mbunge wa Witney na amedai kwamba ilikuwa ni heshima kuliongoza jimbo hilo.
ENGLAND NATIONAL FLAG
+enock macha

No comments:

Post a Comment