Monday, November 28, 2016

WIZARA YA ELIMU,TANZANIA IMEKANUSHA KUHUSU TAARIFA ILIYOKUWA GUMZO,JUU YA NAMNA YA KUSOMA CHUO KIKUU(DEGREE NA KUENDELEA),HATIMAE IMETOA UFAFANUZI KUWA IMEZUIA UTARATIBU WA UDAHILI KWA OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA(OUT)>>>>>


story by HONORATHA JACOB-JOURNALIST MACHAS BLOG
wizara imesema kuwa,utaratibu uliokuwa ukitumika open,ni kwamba mtu anatoka direct form four with four passes or five,na kusoma kitu kinaitwa "foundation course"pre-entry eti tayari amekuwa na sifa ya kusoma shahada(degree).kitu ambacho ni utaratibu m'bovu mno,badala ya mtu huyo kusoma certificate,then diploma in a recognized institutions,ndio apate fursa ya kusoma degree,wao open husomi ngazi hizo,yaan wewe ni direct from form four to bachelor degree,kitu ambacho ni prohibited kuanzia sasa,na kama kilishafanyika watu hao,wanafutiwa hizo degree zao kutokana na sheria na miongozo mbalimbali ya elimu inavyosema.......wizara imesisitiza kuwa,kiutaratibu ni kwamba mtu aliyemaliza form four akapata passmark zinazohitajika,ataanza cheti(astashahada),then diploma(stashahada) ndio sasa aende degree(shahada na kuendelea)....sio form four to something called foundation course then degree,hiyo haipo kabisa,haipo tena,na hii ilikuwa ni kwa upande wa chuo kikuu huria cha Tanzania na sio kwenye vyuo vikuu vingine....
HII NI VIDEO,WAHUSIKA WAKIFAFANUA KWA UMAKINI NA KUONDOA PRESHA ZA WATANZANIA,BONYEZA PLAY KUTIZAMA....#VIDEO KWA HISANI YA MILLARD AYO
 
PREPARED & EDITED BY
 

No comments:

Post a Comment