Sunday, October 16, 2016

DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE_TZ NA DJ D-OMMY WASHINDA TUZO ZA AFRIMMA 2016>>>>>>>

DIAMOND PLATNUMZ,MWANAMUZIKI MKALI MARA ZOTE AFRICA...
Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii.
Diamond ameibuka na tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika.
“Team Tanzania Mungu ni mwema siku zote,” ameandika Harmonize baada ya ushindi huo.Diamond na D-Ommy hawakuwepo kwenye tuzo hizo.
MZAZI WILLY M TUVA(CITIZEN RADIO & TV PERSONALITY), AKOTHEE, & HARMONIZE_TZ
 
akothee ameshinda tuzo ya msanii bora wa kike EAST-AFRICA
 
#MACHAS OFFICIAL SITE

No comments:

Post a Comment