Sunday, October 16, 2016

PICHA: MWANAMUZIKI TUNDA_MAN AFUNGA NDOA RASMI NA MCHUMBA WAKE WA SIKU NYINGI>>>>>>

Tunda Man akipongezwa na mtu wake wa karibu
Madee akiwa na shemeji yake
Madee (kutoka kulia), Tunda Man na mke wake (katikati’ Kassim Mganga pamoja na Dogo Janja
 
Mkali wa wimbo ‘Mama Kijacho’ kutoka Tip Top Connection, Tunda Man hatimae amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Sabrah.Ndoa hiyo ambayo imefanyika Ijumaa hii huko mkoani Morogoro nyumbani kwa Bi Sabrah, ilihudhuriwa na mastaa wa muziki kutoka Tip Top Connection
 
#UONGOZI WA UNAPENDA KUTOA PONGEZI KWA MSANII TUNDA MAN KWA HATUA NZURI ALIYOIFIKIA.

No comments:

Post a Comment