Tuesday, August 16, 2016

TAMASHA LA FIESTA MWANZA JUMAMOSI HII KUPAMBWA NA MKALI KUTOKA NIGERIA "WIZKID"

MWANAMUZIKI KUTOKA NCHINI NIGERIA #WIZKID
 
 
 
Staa wa Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun ‘Wizkid’ amethibitishwa  na Clouds Media Group kupitia akaunti yao ya twitter  kuwa atatumbuiza kwenye show ya Fiesta, Mwanza mwishoni mwa wiki hii. Itakuwa mara ya pili muimbaji huyo kuja Tanzania  mwaka jana alitumbuiza kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
 
MOJA YA NYIMBO ZAKE NI HUU UITWAO "FINAL"BABA NLA...... WATCH THE VIDEO
 
 
 
#MACHAS OFFICIAL SITE
 
 


No comments:

Post a Comment