Wednesday, August 17, 2016

MASANJA NA MKE WAKE MONICA WAZUA KIZAAZAA KUTOKA KWA MASHABIKI WAO KUHUSU "UTUMISHI WA MUNGU"NA NAMNA YA KUISHI KIUTUMISHI

EMMANUEL MGAYA"MASANJA MKANDAMIZAJI" NA MKEWE MONICA FREDRICK
 
 
Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili iliyopita wawili hao wameonekana kwenye picha mbali mbali wakijivinjari Honey Moon huku mavazi yao yakileta mabishano kama kweli ni Baba Mchungaji na Mama Mchungaji....

Baadhi ya Comments kwenye picha hizo hizi Hapa:

"Wachungaji wa mwendo kasi.."

"Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????"


"Don't judge by looks....THE LORD GOD ALMIGHTY knows the hearts of everyone"


"Mavazi yanaonyesha uhalisia wa mtu. Kuna mavazi ambayo KAMWE mtu wa Mungu hawezi kuyavaa au kumruhusu mtu anayemmiliki kuvaa. Ila sijayaongelea mavazi aliyovaa Masanja"

"The Bible teaches us how to distinguish false from true prophets. Follow the Bible!!!"

"Dah!Mke wa masanja ana ugonjwa wangu kwa kweli"
 
****COMMENT ZINGINE HIZI APA.....
 
mchungaji wa kidigital
LikeReply1 hr
...mchungaji wa mwendo kasi huyo........
LikeReply1 hr
Huyu ni Mchungaji wa fisiem
LikeReply1 hr
ni kwa nini mke wako anavaa kimahaba kama wadada shoo ambao kila kukicha wanashoo kwenye media na mitandao, kaka badilika!
Kwani yupo uchi??????
WANA MJARIBU MUNGU NA WANAPASWA KUTAMBUA KUWA MUNGU AJARIBIWI MIMI NINACHOONA SAIVI WATUMISHI WENGI WAMEWEKEZA KWENYE DINI KAMA SEHEMU YA KUINGIZIA KIPATO CHAO NASIO KWAAJILI YA KUMCHA MUNGU KWANZA MTU AMBAE ANAWEZA KUWA MCHUNGAJI ANAONEKANA TANGU AKIWA MDOGO WENGI WAO WANAFYATA MKUMBO UNAKUTA MKE WA MAMA MCHUNGAJI AMEVAA KIMINI ANA KAA MBELE YA MADHABAU MNATUDHALILISHIA DINI ZETU MUOGOPENI MUNGU
 
mume mwenyewe anaona sifa mkewe kutoka hivyo machoni pa watu, masanja mkewe asingevaa,,,, tatizo ni masanja na siyo mke, na ndiyo maana harusi yake ameruhusu michanganyo na comedy matokeo yake ovyo ovyo,,, umeshindwa na abdul jumbe aliyesema hataki maziko yake yahusishwe na kitu chochote zaidi ya mungu wake alinavyotaka na imekuwa, masanja angetaka harusi yake isichanganywe na usanii ingekuwa, wangekuja watu wa kila dini na taifa na heshima ya mungu wake inngekuwepo,, uchungaji una maadili yake na mipaka yake, kama alikuwa hajui atajifunza,,,ila akibeza ushauri mungu anao wengi na wengine hawajazaliwa, usifanye mchezo kwa yesu
 
 
#MACHAS OFFICIAL SITE
 

 

No comments:

Post a Comment