Wednesday, August 17, 2016

Wizkid Asema wimbo wa Kidogo wa Diamond Ndio wimbo Bora na Anaoukubali Kwa Sasa>>>>>>>>>>>>>

MSANII MKALI KUTOKA NIGERIA #WIZKID
Msanii mkali wa africa na dunia kutoka nigeria wizkid akiongea na clouds fm amesema kwa sasa wimbo wa diamond platnumz aliowashirikisha psquare kidogo ndio wimbo bora kwake na ndio anaoukubali.

Wizkid pia hakusita kumpongeza diamond platnumz baada ya wimbo huo kuingia kwenye chat za BBC 1xtra UK na kupata rotation.

Katika chat hiyo ni wasanii 2 tu kutoka africa walioingiza nyimbo zao , kidogo ya diamond na shabba ya wizkid mwenyewe akiwa na chriss brown, french montana na trey songz.
Wizkid jumamosi hii atakuwa Tanzania jijini mwanza kutumbuiza kwenye show ya fiesta .....
 
#MACHAS OFFICIAL SITE
 
TIZAMA WIMBO HUU WA DIAMOND ANAOUKUBALI WIZKID.... "KIDOGO" FT P SQUARE
 
 

No comments:

Post a Comment