Monday, June 20, 2016

DUNIA ILIMUOGOPA IDDAMIN DADAA? MHARIRI ANAHOJI

IDDAMIN DADAA-RAIS ALIYESUMBUA VICHWA VYA WATU WENGI ULIMWENGUNI

Kwa wale waliona mkanda wa Idd amini, ambaye alijirekodi Akibaka, akila maini ya watu,akifanya mapenzi kwenye gari kwenye mashindano ya magari, akiua na kuweka vichwa kwa friza, akiua wazi wazi, akibadili gavana kwa kuita hela ya uganda toilet paper, n.k n.k
Nimekuwa nikijiuliza maswali mia kidogo

1. Huu mkanda ni wa kuigiza tuu au ni kweli?
2. Zilikuwa wapi jumuiya za kimataifa, na Africa mashariki, haki za binadamu n.k
3. Kwanini hakushtakiwa na kufugwa kwa ukiukwaji mkubwa hivyo?
Au dunia ilimogopa?

#MACHAS OFFICIAL SITE

No comments:

Post a Comment