Saturday, June 25, 2016

Black Coffee ashinda tuzo ya BET,Best International Act: Africa iliyowaniwa na Diamond.



Msanii na Dj kutoka Afrika Kusini Black Coffee [GOAT] ameshidna tuzo ya Msanii Bora wa Afrika ya BET 2016 kwenye tuzo hizo zilizofanyika Los Angeles  nchini Marekani.
Wasanii waliokuwa wakiwania tuzo hii ni pamoja na AKA, Cassper Nyovest, Diamond Platnumz,MzVee, Serge Beynaud, Wizkid na Yemi Alade.
Tuzo za 2016 BET zimefanyika Microsoft Theatre, Los Angeles, California.
FAHAMU>Black Coffee ni msanii mkubwa sana Afrika na nje ya Afrika mwenye uwezo wa kumiliki majukwaa makubwa kwenye nchi tofauti za Ulaya na America.
Ukiacha usanii pia Ni Dj mkubwa na hutumia kipaji chake hich kwa muda mrefu kutengeneza nyimbo zake mwenye na kuzipiga kwenye show.
 
 
 
 
DIAMOND AND AKA FROM SOUTH AFRICA..
 
#MACHAS OFFICIAL SITE

No comments:

Post a Comment