Sunday, January 31, 2016

NENO LA MUNGU LINASEMA------ 1WAKORINTHO 6:12-20

NENO LANGU LA SIKU KWENU WAPENDWA
ENOCK MACHA
miili yetu imeumbwa na mungu kwa utukufu mkubwa.mwili na roho vinategemeana.miili yetu imeumbiwa tabia mbalimbali ambazo madhumuni yake ni kumtukuza mungu,kutuneemesha sisi na kuwabariki watu wengine.tabia hizo zikitumika vizuri zinaleta furaha na baraka ,zikitumika vibaya zinaleta balaa na maumivu.
WAZO:JE! NICHUKUE VIUNGO VYA MWILI WA KRISTO NA KUVIUNGANISHA NA KAHABA?
SALA:MUNGU WETU TUNAOMBA SANA UTUWEZESHE KUKUTUKUZA WEWE KATIKA MIILI YETU................AMINA

1 comment: