Sunday, January 31, 2016

BUNGENI DODOMA

Mbunge Chadema Achaniwa Suti Mbili na Polisi
DODOMA: KALI ya mwaka. Mbunge wa Jimbo la Kilombero, Peter Lijuakali wa Chadema, amechaniwa suti mbili katika matukio mawili tofauti na Jeshi la Polisi ndani ya wiki moja, hivi hawa polisi wanajivunia nini maboya hawa
by
MACHAS OFFICIAL SITE

1 comment: