Monday, October 31, 2016

PICHA: TANZANIA HIP-HOP ARTIST MABESTE NA LISA FICKENSCHER WABARIKI NDOA,NI BAADA YA KUISHI WAKIWA WACHUMBA KWA MDA MREFU>>>

Msanii wa muziki(hip hop) Mabeste weekend hii amefunga ndoa/amebariki ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae, Lisa Fickenscher.
Wawili hao tayari wana mtoto mmoja aitwae, Kendrick Mabeste.

Kupitia instagram, Mabeste ameandika:
Morning .. Hatimae nimeopoa Jana Thank you sana My Big brother Jesus And Thank you
WATCH OUT THEIR PHOTOS/PICTURES >>>
LISA FICKENSCHER,MKE HALALI WA MWANAMUZIKI MABESTE
MABESTE AKIWA NA MKEWE,WAKIFURAHI KWA PAMOJA
 
UONGOZI WA
UNAPENDA KUTOA PONGEZI KWA WATU HAWA WALIOSHIBANA KWA MUDA MREFU.
 

No comments:

Post a Comment