Monday, October 31, 2016

PICHA 13 ZA HIGH DEFINITION:MWANAMUZIKI WA KIMATAIFA KUTOKA NCHINI TANZANIA DIAMOND PLATNUMZ,AMEFANYA SHOO YA KUKATA NA SHOKA WEEKEND HII HUKO MALAWI LICHA YA MVUA KUBWA KUNYESHA>>>>

Licha ya mvua kubwa kunyesha, Diamond amefanikiwa kupiga show iliyofana kwenye Sand Music Festival iliyofanyika kwenye fukwe za Living stone Jumamosi hii.Mpiga picha wake, Kifesi amedai kuwa mvua kubwa ilinyesha na kulazimu show yake kusimama kwa muda. Hata hivyo mashabiki waliokuwa na hamu kumuona akitumbuiza, walisubiri hadi ilipokata.
Kwenye picha hii Kifesi ameandika: Picha ya juu ni usiku watu wakiwa na shauku ya kumuona Diamond but mvua ikanyesha, but walingoja hadi hali ilipotulia.. Picha chini ni alfajiri saa 12 hali ilipotulia na Diamond kupanda na hakuna alokua kachoka or kuondoka
 
Kwenye show hiyo Diamond alitumbuiza live. Hizi ni picha Zaidi za mkali huyo wa bongofleva:-
DIAMOND PLATNUMZ(SIMBAAAAA),AKIFANYA MAKEKE YAKE
BOSI HUYU WA WASAFI,AKIFANYA MAMBO ZAIDI....
BENDI IKIFANYA OVERCOME
MASHABIKI WAKIWA NA KIU KUU,DHIDI YA DIAMOND(D TATU)
WAAAAAAAAAASAFI...
 
BY

No comments:

Post a Comment