Tuesday, April 11, 2017

MWILI WA ALIYEKUWA KIONGOZI WA FREEMASON, SIR ANDY CHANDE WAZIKWA KWA KUCHOMWA MOTO>>>>>

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Freemason Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Keshavji Chande maarufu kama Andy Chande, umeteketezwa leo Kijitonyama, jijini Dar es Salaam kupitia tukio lililodumu kwa takribani saa moja.
Mwili huo umeteketezwa kwa moto kupitia ibada iliyofanyika kwenye nyumba maalumu inayotumika kama sehemu ya maziko ya waumini wa dini ya Hindu.
Sir Chande alifariki dunia siku tano zilizopita wakati akipata matibabu katika hospitali ya Nairobi baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa uliotokana na matatizo ya utumbo mdogo kusambaza sumu mwilini.....

bado nakukumbusha kuwa,usipite bila kupitia youtube chanel yetu kwa taarifa,burudani na matukio kadha wa kadha,pia usiache kusubscribe ili uwe wa kwanza kupata access SUBSCRIBE TO OUR YOUTUBE CHANNEL

No comments:

Post a Comment