Thursday, March 30, 2017

RESEARCH:HILI NI TATIZO KUBWA LINALOWEZA KUWAPATA WATUMIAJI WA MITANDAO YA KIJAMII(SOCIAL NETWORKS)>>>>

TUZUNGUMZE UTAFITI>>>>
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na American Psychological Association’s ni kuwa zaidi ya 99% ya watu wazima humiliki simu za mikononi aina ya Smart phones na 74% wanatumia mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, Instagram na Snapchat.
Wakielezea uhusiano uliopo kati ya mitandao ya kijamii na msongo wa mawazo Wanasayansi wanasema:>>>Watu wengi hupata msongo wa mawazo kutokana na matumizi makubwa ya mitandao ya kijamii kwa kuangalia simu zao kila wakati, kutamani vitu ambavyo hawana kwa kuona kwa watu wanaowafollow katika mitandao na kupata hofu kubwa inayoweza kupelekea kupata msongo wa mawazo”

"TUWENI MAKINI,(WE SHOULD TAKE CARE ON IT)"
 

No comments:

Post a Comment