Monday, March 13, 2017

ENLARGED TECHNOLOGY:SIMU ITAKAYOVUNJA REKODI YA KUCHAJI BETRI KWA HARAKA ZAIDI…

Kama umekuwa ukitafuta simu kali ambayo itakuwezesha kufanya mambo mengi bila kuhitaji kuichaji mara kwa mara basi “Tecno Mobile” wanakusogezea hii inaitwa Tecno L9 Plus, simu hii itakuwa na uwezo wa kuchaji fasta kupita kiasi. Unaambiwa kuchaji asilimia 5 tu kutakuwezesha kupiga picha takribani 1,000.
Tecno L9 Plus inatarajiwa kuingia sokoni, hapa nchini katikati ya mwezi huu wa Machi na habari njema kutoka Tecno ni kwamba sasa unaweza kuweka oda yako mapema ambapo mteja ataweza kujipatia kifurushi cha zawadi. Baadhi ya zawadi zitakazogawiwa ni Boom Headphones, mabegi ya mgongoni na nyingine nyingi.
ANGALIA HII VIDEO APA CHINI,KUIFAHAMU TECNO L9 PLUS MASAA 72 YA MATUMIZI YA HALI YA JUU BILA KUTETEREKA CHAJI
 

No comments:

Post a Comment