Wednesday, November 16, 2016

VIFUATAVYO NI VYUO 25 VILIVYOFUTIWA USAJILI NA (NACTE),VYUO 20 VINAVYOTOA BAADHI YA MAFUNZO/TAALUMA AMBAZO HAZIJATHIBITISHWA(YAANI KINYUME NA UTARATIBU) VYUO VIWILI VYENYE KAMPASI KINYUME NA UTARATIBU>>>>>>

kundi namba 1: Vyuo vya Ufundi vilivyofutiwa usajili na NACTE,kutokana na ukiukwaji mkubwa wa taratibu mbalimbali zilizoainishwa na baraza hilo la mafunzo ya ufundi.
S/N CHUO

1 Institute of Management and Development Studies – Iringa
2 Green Hill Institute – Mbeya
3 Institute of Business and Social Studies – Mbeya
4 Loyal College of Africa – Mbeya
5 Mbeya Training College – Mbeya
6 Mbengwenya College of Business and Information Technology –Mbinga
7 New Focus College – Mbeya
8 Shukrani International College of Business and Administration – Mbeya
9 Majority Teachers College – Mbeya
10 Rukwa College of Health Sciences – Sumbawanga
11 MAM Institute of Education – Mbeya
12 Belvedere Business and Technology College – Mwanza
13 Geita Medical Laboratory Sciences and Nursing Training College – Geita
14 Global Community College – Geita
15 Muleba Academy Institute – Muleba
16 St. Bernard Health Training Institute – Katoro, Geita
17 Victoria Institute of Tourism and Hotel Management – Mwanza
18 Gisan Institute of Health Sciences – Mwanza
19 Dar es Salaam Institute of Business Management – Dar es Salaam
20 SAMFELIS College of Business Studies – Dar es Salaam
21 Ellys Institute of Technology – Bunda, Mara
22 Tanzania Institute of Chartered Secretaries and Administrators – Arusha
23 Emmanuel Community College – Kibaha
24 Modern Commercial Institute – Dar es Salaam
25 Marian College of Law – Dar es Salaam

kundi namba 2: Vyuo vya Ufundi vinavyotoa mafunzo ambayo hayajathibitishwa ,yaani kutoa baadhi ya mafunzo bila baraza hili la ufundi kukuruhusu*VYUO HIVI HAVIJAFUTIWA USAJILI,BALI VIMEPEWA ONYO KALI JUU YA SHUTUMA ZA KUTOA MAFUNZO BILA ITHIBATI/IDHINI/RUHUSA/THIBITISHO YA (NACTE)
S/N CHUO MAFUNZO

1 MISO Teachers College – Mafinga Competence Building Network (CBN) – a Certificate in Early Childhood Education
2 Tusaale Teachers College – Mafinga Competence Building Network (CBN) – a Certificate in Early Childhood Education
*3 St. Joseph’s College the Institute of Business and Management (SJCIBM) – Morogoro
4 The Golden Training Institute – Dar es Salaam

5 Nkrumah Mkoka Teachers College – Kongwa, Dodoma
6 National Institute of Agriculture (Chuo cha Kilimo cha Taifa) – Arusha
7 Musoma Utalii Training College – Musoma
8 Mwanza Polytechnic Institute – Mwanza
9 Mwanza Polytechnic Institute – Maswa
10 Ruter Institute of Financial Management – Mwanza
11 Dar es Salaam Institute of Journalism and Mass Communication – Mwanza
12 Dar es Salaam Institute of Journalism and Mass Communication – Geita
13 Dar es Salaam Institute of Journalism and Mass Communication – Bukoba
14 Singni International Training Institute – Bukoba
15 Dar es Salaam Institute of Journalism and Mass Communication – Kahama
16 Dar es Salaam Institute of Journalism and Mass Communication – Simiyu
17 Richrise Teachers College – Geita
18 Twiga Training Institute – Musoma
19 Zoom Polytechnic Institute – Bukoba
20 St. Thomas Training College – Shinyanga

kundi namba 3: Vyuo vya Ufundi vyenye Vituo vya Satellite / Kampasi,yaan uwepo wa kampasi bila accreditation(is a process of validation in which colleges, universities and other institutions of higher learning are evaluated. The standards for accreditation are set by a peer review board whose members include faculty from various accredited colleges and universities) ya NACTE
S/N CHUO

1 MISO Teachers College – Mafinga
2 Rungemba Teachers College – Mafinga


Issued by:

EXECUTIVE SECRETARY

NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION

DATED: 14TH NOVEMBER 2016

CHANZO/SOURCE YA TAARIFA UJUMBE MAALUM KUTOKA NACTE
 
bongo5.com

BY
 

No comments:

Post a Comment