Thursday, November 17, 2016

DALILI MUHIMU ZA MWANAMKE ALIYEFIKA KILELENI MKIWA KWENYE ITIKADI>>>>>


Wanaume wengi sana huwa tunadanganywa na wenza wetu kuwa tumewaridhisha vya kutosha lakini ukweli huwa hakuna kitu

Huwa wanafanya kwa nia njema tu kwani wanaume huwa tunajisikia amani sana kuambiwa, umemfikisha mtoto wa kike kwani ni jambo la kishujaa mno

 uzoefu unaonyesha kuwa,mwanamke aliyefika kileleni huwa anakua hivi bila hata kuuliza au kusubili kuambiwa,kuwa teyari ama bado.

1.MWILI KUISHIWA NGUVU
mwanamke aliyefika orgasm huwa anaishiwa nguvu mwilini baada ya safari ndefu ya mikito,ukiona baada ya sex msichana anao uwezo wa kufanya kazi nzito nzito jua umefanya kazi butu sio mpaka uambiwe
2.KUPITIWA NA USINGIZI BAADA YA MECHI
ukiona ka beby kako kamepitiwa na usingiz ghafla baada ya sex jua kuwa kaz imeenda sawia,ikumbukwe kufika orgasm ni mechanism nzito,
3.MUSCULAR CONTRACTION
mwanamke anaekaribia/ aliyefika kileleni misuli hubana na kuachia ,hii ni kwa mwili mzima hadi kwenye vagina,hili tendo pia hufuatiwa na mwili kutoa jasho.
ukiona ivyo ujue kazi zimeenda sawia



by

 

No comments:

Post a Comment