Wednesday, November 2, 2016

PICHA 21:KUAGWA HADI KUZIKWA KWA BONDIA MASHUHURI NCHINI TANZANIA MAREHEMU THOMAS W.C MASHALI>>>>

THOMAS MASHALI(MWENYE KOFIA NYEUSI NA SHATI JEUSI),ENZI ZA UHAI WAKE,KUSHOTO NI RAIS WA TPBO,YASSIN ABDALLAH
WATU MBALIMBALI,WAKIMUAGA MAREHEMU MASHALI
BINTI WA MAREHEMU MASHALI,AKILIA KWA UCHUNGU WA KUMPOTEZA MTU MUHIMU KWENYE MAISHA YAKE(BABA-MZAZI)
WATU MBALIMBALI WAKIWA WAMEJIPANGA MSTARI KUSUBIRI KUMUAGA KIPENZI CHAO,MAREHEMU THOMAS MASHALI
WATU WAKIWA HAWAAMINI MACHO YAO KWAMBA,HATUTAMUONA TENA BONDIA WETU THOMAS MASHALI
KIFO HAKINA HURUMA,BURIANI MASHALI
WAOMBOLEZAJI WAKIWA NA HUZUNI KUU
NYUMBA YA MILELE YA MAREHEMU THOMAS MASHALI
JENEZA LENYE MWILI WA MAREHEMU MASHALI LIKIWA TAYARI NDANI YA KABURI.
MASHALI AKIWA AMEZIKWA TAYARI,
MAREHEMU THOMAS W.C MASHALI,KUZALIWA 1980 KUFARIKI USIKU WA OCTOBER 31 2016
 
Hatimaye mwili wa bondia maarufu nchini Tanzania Thomas Mashali ‘Simba asiyefugika’ umepumzishwa November 2,2016 katika nyumba yake ya milele, makaburi yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kufariki usiku wa Oktoba, 31, eneo la Kimara mara baada ya kupigwa na watu wasiojulikana huku chanzo hasa cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika.
 
"mungu akulinde mpendwa wetu,katika makazi hayo mapya ambayo nasisi uliotuacha yanatusubiri"upumzike kwa Amani
 
uongozi wa
unaendelea kutoa pole kwa wapenzi wote wa ndondi ulimwenguni,hasahasa familia ya marehemu THOMAS MASHALI

 

No comments:

Post a Comment