Monday, November 21, 2016

JE,LADY JAY DEE AMEOLEWA TENA?TAZAMA PICHA NNE ZA MWANAMUZIKI LADY JAY DEE,AKILA BATA NA MSHIKAJI FULANI AMBAE NI MGENI MACHONI PA WENGI>>>>>>

Huenda Lady Jaydee akawa amepata mwanaume wa kumkabidhi moyo wake. Tangu aachane na mume wake wa zamani, Gardiner G Habash, muimbaji huyo mkongwe hajawahi kuonekana na mwanaume aliyehisiwa kuwa ni mpenzi wake. Na sasa kwa picha alizoweka Instagram, uwezekano wa kuwa amerejea kupenda tena unaweza ukawa ni mkubwa.Na tena kwa anachokiandika mwenyewe kwenye Instagram, Jide anamaanisha kuwa amefunga ndoa tayari! “Big shout out kwa Coastal air
Kwa kufanikisha safari yangu kwenda honeymoon #ZanzibarIsland,”
ameandika Jide kwenye picha akiwa amesimama pembeni ya ndege waliyokodi na mwanaume huyo ambaye ni mgeni machoni pa wengi.Kwenye picha nyingine , Jide ameandika: Thank you Serena Hotel for the amazing dinner we really enjoyed #ZanzibarIsland.”Pia rafiki yake wa siku nyingi, Monica Joseph ameweka picha za wawili hao na kuandika: My BFF is better than yours .. looking Good My People .. Love Lives here.”je,Ni kweli Jide amefunga ndoa? kaa na mimi apa apa MACHAS OFFICIAL SITE utafahamu A to Z
kwa sasa muimbaji huyu nguli wa bongo fleva anatamba na wimbo wake sawa na wao,enjoy the music

No comments:

Post a Comment