Kwenye picha hii Kifesi ameandika: Picha ya juu ni usiku watu wakiwa na shauku ya kumuona Diamond but mvua ikanyesha, but walingoja hadi hali ilipotulia.. Picha chini ni alfajiri saa 12 hali ilipotulia na Diamond kupanda na hakuna alokua kachoka or kuondoka
Kwenye show hiyo Diamond alitumbuiza live. Hizi ni picha Zaidi za mkali huyo wa bongofleva:-
DIAMOND PLATNUMZ(SIMBAAAAA),AKIFANYA MAKEKE YAKE
BOSI HUYU WA WASAFI,AKIFANYA MAMBO ZAIDI....
BENDI IKIFANYA OVERCOME
MASHABIKI WAKIWA NA KIU KUU,DHIDI YA DIAMOND(D TATU)
WAAAAAAAAAASAFI...
No comments:
Post a Comment