Friday, October 7, 2016

MWANAMUZIKI DIAMOND PLATNUMZ KUTOKA TANZANIA,ANAZIDI KUSHINE DUNIANI,KUFANYA SHOWS KUBWA UINGEREZA AKIWA NA MKALI WA U.S.A NE-YO>>>>>>

PERFOMING AND RECORDING ARTIST FROM TANZANIA DIAMOND PLATNUMZ,CHIBU DANGOTE,SIMBA,MKALI WA SWAGGER,CHIEF WA W.C.B(WAAAAAAAASAFI)
Diamond platnumz ameendelea kukuza mziki wa TANZANIA na AFRIKA KWA UJUMLA, baada ya kupata shavu kubwa la kutumbuiza kwenye majukwaa makubwa nchini Uingereza akiwa na mkali kutoka marekani Ne-yo.
Mtandao wa Revolt Africa umetoa taarifa hiyo.
Diamond mwenyewe kwenye kipindi cha playlist cha Times FM alisema kwamba amekuwa karibu na Ne-yo na kuna mambo makubwa anajifunza na wanafanya pamoja
Ziara hiyo itayofanyika kwenye miji 6 uko United Kingdom...
NE-YO & DIAMOND PLATNUMZ
 
 
MACHAS OFFICIAL SITE
 

No comments:

Post a Comment