BONGO MOVIE ACTRESS WEMA ISACK SEPETU
Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandals, wema Isack sepetu, hivi karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumsapoti( team wemas) kuanzia Leo waache,mara moja kwani hawajui kuwa wamekua wakimuaribia sana maisha yake, mrembo huyo aliendelea kutiririka kuwa team hizo zimekua zikimgombanisha na watu wengi na kuwa asilimia nyingi ni wanafiki, hivyo amewaomba wote wanaojiita team wema waache mara moja na waanze kutumia majina yao kwenye mitandao ya kijamii.
Bonyeza Hapa Chini Kumsikiliza:
#MACHAS OFFICIAL SITE
No comments:
Post a Comment