Wednesday, August 24, 2016

NINGEKUWA MAGUFULI,NINGERUHUSU CHADEMA WAFANYE MAANDAMANO NA MIKUTANO YAO KWA AMANI ILI KUILINDA SERIKALI ISIPATE DOA JUU YA AMANI..>>>>>>>>>>>>>>>>>

MHE.JOHN MAGUFULI,RAIS WA TANZANIA...
Ningelikuwa Magufuli ningeliwaruhusu ‪#Chadema‬ wafanye maandamano na mikutano yao ambayo iko kisheria kwa mujibu wa katiba na sheria ya vyama vya siasa.

Kisiasa, Chadema wameshinda, wana ajenda ambayo ina legitimacy ndani na nje ya nchi. Ajenda ni kuilinda na kuihifadhi Katiba. It is clear and simple to grasp kuwa MagufuliJP has somewhat thrown the law out of the window kwa kukataza mikutano na maandamano ambayo sheria ya vyama vya siasa imetaja kuwa ni halali. Kama Chadema watafanya walivyopania, any crackdown on them ni doa kubwa kwa Serikali ya Magufuli and a looser in the run ni ‪ CCM‬ kwa sababu Magufuli ni Mwenyekiti wa CCM

Ni wakati sasa CCM na Chadema warudi kwenye meza ya mazungumzo, ‪Nchi‬ kwanza. Kwa nini CCM na Chadema ? @MagufuliJP ni Mwenyekiti wa CCM na makatazo haya yote yanainufaisha CCM na si Serikali ambayo kuilinda katiba ni jukumu lao.


Imeandikwa na Thomas David Maqway
 

No comments:

Post a Comment