Tuesday, August 23, 2016

MSANII WA W.C.B RAYMOND,AMWAGA CHOZI BAADA YA KUZAWADIWA GARI NA BOSS WAKE #DIAMOND KWENYE BIRTHDAY PART YAKE

RAYMOND"RAYVANY",MSANII WA BONGO FLEVA KUTOKA LABEL YA WASAFI
Ilikuwa bonge la SUPRISE kwa msanii Raymond akiwa kwenye birthday yake, msanii huyu alipewa gari mpya na Bosi wake na kushindwa kujizuia mpaka kumwaga machozi.
#MACHAS OFFICIAL SITE

No comments:

Post a Comment