Wednesday, August 31, 2016

FAIZA ALLY :NAPENDA KUVAA NUSU UTUPU, NAJIPENDA NILIVYO BOMBA NAJUA WENGI MNATAMANI'>>>>

Mrembo Faiza Ally Ameamua Kufunguka haya Hapa Chini:
"Napenda kuvaa half naked - Na najipenda kujiangalia nilivyo bomba Na kuangalia watu wanavyo niponda.... najua wengi mnatamani lakini Ndio hivyo tumeumbwa tofaut....
Msinifananishe na mtu mwenye mzigo nyuma#hakunaga star mnene duniani hlf pia msinifananishe na wenye vijuso Kama katuni - mi niko Na class beauty 😉 I AM DIFFERENT" Faiza Ally


#MACHAS OFFICIAL SITE

No comments:

Post a Comment