Tuesday, August 23, 2016

CHADEMA HATA WASIPOFANYA MIKUTANO NA MAANDAMANO TAYARI WAMESHINDA......edo kumwembe

ndugu EDO KUMWEMBE,MCHAMBUZI MAHIRI WA MASWALA YA MICHEZO,HASA MPIRA WA MIGUU KUTOKA TANZANIA
"Ukitaka kuwazuia watu wasifanye siasa basi waruhusu wafanye siasa....Mpaka sasa Chadema wanaonekana wameshinda hata wasipoandamana kwa sababu hadithi yao ya UKUTA imekuwa maarufu katika media na public na imewapa uhai kama Chama....wangeruhusiwa kuendelea kufanya siasa zao kama zamani leo wasingekuwa katika kurasa za mbele kama hivi.....wametengenezewa ajenda nzuri ambayo hawakuwa nayo....just thinking" Edo Kumwembe

No comments:

Post a Comment