Friday, July 1, 2016

SIKILIZA Wimbo Mpya wa Chris Brown Aliomshirikisha Wizkid Kutoka Nigeria

MSANII WA KIMATAIFA KUTOKA MAREKANI "CHRIS BROWN" BREEZZZZY
 
MSANII WA KIMATAIFA KUTOKA NIGERIA "WIZKID"
 
 
 
CHRIS BROWN NA WIZKID JUU YA JUKWAA MOJA
 
Good news kwa wasanii Afrika kuzidi kufanya vizuri katika tasnia nzima ya muziki ambapo wizkid amezichukua Headlines apo jana June 30 2016  kupitia kituo kikubwa cha kimataifa  MTV Base wakiripoti kuwa Wizkid amefanya collabo na msanii wa marekani  Chrisbrown"breeezzy" kwenye hit yao mpya iitwayo “SHABBA”.
 
LISTERN THE SONG HERE IT IS:-
 
 
#MACHAS OFFICIAL SITE..

No comments:

Post a Comment