Tuesday, March 29, 2016

BETTY KYALLO JOURNALIST KENYA AACHWA NA MPENZIWE BAADA YA STORY KUENEA KUWA ANATOKA NA "PREZZO"

Mtangazaji aliyetongozwa na rapa Prezzo wakati wa interview yao kwenye tv Betty Kyallo ametengana na mpenzi wake Dennis Okari,
Taarifa za blog za udaku Kenya zinasema mtangazaji Betty Kyallo ametengana na mpenzi wake Dennis Okari baada ya uvumi kusambaa kuwa anatoka na Prezzo.
Siku chache nyuma Prezzo na Dennis Okari walitukanana twitter baada ya Prezzo kuonyesha tabia ambayo ilitafsiriwa kuwa sio sawa wakati anafanyiwa interview na Betty Kyallo.

 
 
 
 
 
 
PICHA ZOTE KWA HISANI YA MACHAS OFFICIAL SITE
 
 
 

No comments:

Post a Comment