Saturday, January 30, 2016

DAVIS MWAMUNYANGE,MWAKA 1 WA UTUMISHI

AONGEZEWA MWAKA MMOJA WA UTUMISHI
Rais wa Magufuli amemuongezea muda wa utumishi kwa mwaka mmoja Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange ambaye muda wake wa utumishi ulikuwa unamalizika kesho.
Akiongea na vyombo vya habari leo jijini Dar es salaam Makao makuu ya jeshi hilo, Jenerali Mwamunyange alitoa taarifa ya uteuzi wa Rais kwa maafisa wanane waandamizi wa jeshi hilo ikiwa ni pamoja na mnadhimu mkuu mpya wa jeshi Luteni Jenerali Venanc...e Mabeyo.
Uteuzi wa nafasi hizo kwa maafisa wandamizi wa jeshi hilo kunafuatia kustaafu kwa maafisa waandamizi ambao muda wao wa utumishi katika jeshi hilo unamalizika kesho tarehe 31 January 2016.

No comments:

Post a Comment