Wednesday, November 30, 2016

TETESI ZA BONGO:JE,HUYU NDIYE BABY MAMA WA RAYVANNY(W.C.B)? HIVI NDIVYO ALIVYOANDIKA MREMBO HUYU.....

STORY BY HONORATHA JACOB-JOURNALIST,MACHAS BLOG
Ule usemi wa Kiswahili unaosema ‘penzi ni kikohozi kulificha hauwezi’ unazidi kujidhihirisha kwa muimbaji wa WCB, Rayvanny baada ya anayedaiwa kuwa mpenzi wake kuonyesha ni jinsi gani anavyomzimia mkali huyo wa wimbo, Sugu.
Mwaka huu mwanzoni Rayvanny alipost picha mtandaoni akiongelea mrembo huyo hali ambayo iliibua maswali mengi kutokana na picha hiyo kutoonyesha sura ya mrembo huyo.Muimbaji huyo hakuwahi kuzungumza chochote kuhusu mrembo huyo, lakini binti huyo anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake ameamua kufunguka kupitia mtandao wa instagram kuonyesha jinsi gani anampenda mkali huyo wa wimbo, ‘Natafuta kiki’.
“Nakupenda sana mumewangu hakuna wakufanana na wewe mm bado sijaona ,” aliandika instagram mrembo huyo huku akiwa amepost picha.
 FAHYMA

No comments:

Post a Comment