Tuesday, November 29, 2016

DAKTARI FAKE,AMEBAINIKA KUYAFANYA HAYA,NA HATIMAE KUPEWA OFA YA KUJIENDELEZA KIELIMU BADALA YA KUTUMIKIA KIFUNGO>>>>>

KENYA: Kamati ya maswala ya afya nchini Kenya imependekeza daktari feki aliyekamatwa nchini humo aruhusiwe kujiendeleza na masomo ya udaktari badala ya kutumikia kifungo gerezani.
Kauli hiyo imetolewa baada ya kubainika kuwa daktari huyo feki alifanikiwa kufanya upasuaji kwa wagojwa tisa ambao kati yao, wanane walipona na mmoja ambae alikuwa mjamzito ndiye aliyepoteza maisha huku akifanikiwa kumuokoa mtoto aliyekuwemo tumboni mwa mjamzito huyo.

No comments:

Post a Comment