Tuesday, November 1, 2016

PICHA 9 ZA HARUSI YA MWANADADA "KADJANITO"STAA WA WIMBO MAUMIVU NIACHE>>>>>>

Oktoba 29, Kadjanito alifunga ndoa na mchumba wake, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwenye kanisa la Ufunuo wa Bendera.Baadaye palikuwa na sherehe iliyofanyika katika jengo la Tanzanite Tower. Kadja amelazimika kubadili dini na kuwa Mkristo ili kumfuata mume wake. Sherehe hiyo ilihudhuriwa na baadhi ya wasanii wakiwemo Linah na Mwasiti na ndugu wa karibu

HIZI NI PICHA ZAIDI ZA SHEREHE YAO:-
KADJANITO AKIFURAHI NA MUMEWE
AKIONYESHA PETE,KWAMBA JAMANI EEH,NIMEOLEWA MWENZENU
 
KADJANITO ONE MORE NIGHT OFFICIAL MUSIC VIDEO:-
 
PIA KADJANITO,AMEYAONGEA HAYA BAADA YA KUFUNGA NDOA YA KIKRISTO
 
INAMPONGEZA MSANII HUYU WA MUZIKI KWA HATUA NZURI ALIYOIFIKIA.
 

No comments:

Post a Comment