Monday, November 28, 2016

KUTOKA MAREKANI:MALIA OBAMA AGONGA MIAKA 17, KUJIUNGA HARVARD UNIVERSITY HIVI KARIBUNI >>>>

MALIA BARACK OBAMA-MTOTO WA RAIS OBAMA
FAMILIA ya Rais Obama ilikuwa na furaha kubwa wikiendi iliyopita wakati mtoto wao Malia Obama alikuwa akitimiza umri wa miaka 17. Malia ambaye ameonekana kukua kwa haraka tangu aanze kuonekana kwenye macho ya watu wengi mnamo mwaka 2008 ambapo baba yake Barack Obama aliingia madarakani kama rais wa Marekani.
Malia atajiunga na masomo ya elimu ya juu hivi karibuni ambapo mpaka sasa ameshapata vyuo vikuu viwili ambavyo ni Brown, Princeton (alichosoma mama yake mzazi) na Harvard (alichosoma baba yake mzazi masomo ya sheria). Itakuwa ni uamuzi wake aende kusoma chuo kipi kati ya hivyo viwili.
Zaidi ya kuwa mwanafunzi anayefanya vizuri zaidi darasani, Malia amekuwa akiiga sehemu kubwa ya staili ya maisha ya mama yake, Michelle Obama........
 

No comments:

Post a Comment