Friday, October 28, 2016

VIDEO:MCHEKESHAJI MAHIRI(CELEB COMEDIAN) ERIC OMONDI KUTOKA NCHINI KENYA AMEIRUDIA SALOME YA DIAMOND FT RAYVANNY,ENJOY THE ACTIONS>>>>>>

Eric Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu mkubwa sana Tanzania kutokana na fani yake ya uchekeshaji lakini pia utundu wake wa kuigiza na kuzirudia nyimbo za wanamuziki mbalimbali mashuhuri mfano Diamond Platnumz kwenye video kama vile ‘nasema nawe’, Aje ya Alikiba
Time hii kairudia Salome ya  MWANAMUZIKI Diamond Platnumz ft Rayvanny na ndio hii hapa chini..enjoy the music
 
 

No comments:

Post a Comment