Friday, October 28, 2016

BASI LA KAMPUNI YA HOOD LAGONGANA NA LORI NA KUPINDUKA MLIMA KITONGA>>>>>>

IRINGA: Basi la abiria ambalo ni mali ya Kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana  mchana lilipata ajali na kupinduka katika Mlima Kitonga mkoani Iringa baada ya kugongana na lori la mafuta.Imearifiwa kuwa, katika ajali hiyo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 43 wamejeruhiwa.Kati ya majeruhi hao, 25 wapo Hospitali ya Itunda Ilula na 18 wapo katika Hospitali ya Mkoa wakipatiwa matibabu.

"MUNGU AWAPONYE MAJERUHI WOTE" PUMZIKA KWA AMANI NDUGU YETU ULIYETWALIWA KWENYE AJALI HIYO

No comments:

Post a Comment