Wednesday, July 13, 2016

SHILOLE Ajipanga Kukutana na Beyonce..Aamua Kufanya Jambo Hili ili Asije Kuaibika...

SHILOLE AKA SHISHI BABY- STAA WA WIMBO WA "SAY MY NAME"
 
‘Ni kweli nataka nirudi darasani nisome lugha ya kingereza kwani ni lugha ambayo imekuwa ikinipa changamoto nyingi mno, kwa sasa ndo niko kwenye mchakato kwani unajua mwisho wa siku sitaki niaibike pale nitakapokutana na wakina Beyonce kwahiyo hii ni heshima kubwa kwenye muziki wetu wa Bongo Fleva’- Shilole
 
#MACHAS OFFICIAL SITE

No comments:

Post a Comment