Tuesday, July 5, 2016

SABABU ZILIZOMFANYA DIAMOND PLATNUMZ KUWEKA PICHA YA ALIKIBA NA MASTAA WENGINE STUDIO KWAKE WCB


STAA WA MUZIKI NCHINI DIAMOND PLATNUMZ
 
 
Akiongea na Clouds FM kupitia >>Perfect Crispin<< alitoa kauli hii….
Diamond alisema Unajua ofisi ya WCB sio ya Diamond Platnumz sio ya Harmonize sio ofisi ya wakina Tale ni ofisi ya Muziki wa Bongo Fleva ambayo imekuwepo kuleta maendeleo kwenye muziki wetu, kwahiyo nimeamua kuweka zile  picha za mastaa ikiwemo ya Alikiba  kwamba ndio wasanii wenye mchango kwenye muziki wetu





 
#MACHAS OFFICIAL SITE

No comments:

Post a Comment