Hit maker wa Jike Shupa,Anameremeta n.k Nuh Mziwanda amewashukuru wahudumu wa hospitali ya Mwananyala kwa kunifanyia upasuaji salama.
Muimbaji huyo amedai amefanyiwa upasuaji wa shingo baada ya kupata maumivu makali sana shingoni.
“Thanks Jesus ’thanks MY SUPER DR KIWALE BINGWA kabisa wa upasuaji ‘Na MWANANYAMALA HOSPITAL kwa surgery (Upasuaji)uliokua chini ya shingo yangu’ bila kusahau MAMA yangu,mke wangu na ndugu zangu waliokua pamoja na mimi.naomba Maombi yenu Mashabiki wangu nirudi katika hali yangu na Kazi ziendelee.I Love you,” aliandika Nuh Instagram.
Hata hivyo haijajulikana mara moja alikuwa anasumbuliwa na nini.
Showing posts with label NUH MZIWANDA. Show all posts
Showing posts with label NUH MZIWANDA. Show all posts
Friday, July 7, 2017
Thursday, April 27, 2017
Friday, December 2, 2016
PICHA: NUH-MZIWANDA NA MKEWE WANATARAJIA KUPATA MTOTO,HIVI NDIVYO ALIVYOANDIKA na KUPOST NUH>>>>>
NUH MZIWANDA WITH HIS WIFE,NAWAL
Siku 21 baada ya msanii wa Bongofleva Nuh Mziwanda atangaze kufunga ndoa na mchumba wake, December 1 2016 ndoa yao imeingia kwenye vichwa vya habari za burudani, ambazo awali zilianza kuenea kama tetesi tu.
Nuh Mziwanda na mpenzi wake walifunga ndoa November 10 2016 huku tetesi zikiwa zimeenea mtaani kuwa wameamua kufunga ndoa baada ya mchumba wa Nuh Mziwanda kupata ujauzito.Kupitia account ya instagram ya Nuh Mziwanda leo ameamua kupost picha na mkewe ikimuonesha kuwa ni mjamzito, picha ameipost na kuweka caption hii “Ukielewa maisha ni nini na unapaswa uweje ili uheshimike raha sana ‘Nawapenda sana Mashabiki wangu
Subscribe to:
Posts (Atom)






