Wednesday, May 3, 2017

PICHA:HII NI TREN YA KIFAHARI KABISA ILIYOUNDWA JAPAN,KWA DHUMUNI LA KUWAPA RAHA,FARAJA(CONFORT) ABIRIA PINDI WASAFIRIPO SEHEMU MBALIMBALI>>>

 Treni hii ya Suite Shiki-shima imeundwa nchini Japan ikiwa na lengo la kuwapatia starehe na maisha ya kifahari abiria wake.
 Mipango ya kuitengeneza treni hiyo ilitangazwa mwaka 2014 na kampuni ya East Japan Railway. Ili kupata huduma zake, utalazimika kulipia gharama kati ya dola 2,860 na 10,000 na unaweza kuchagua kati ya safari ya siku mbili au nne.Treni hii ina nafasi kwa abiria 34 , na ina nafasi ya kuwatosha abiria wake vizuri. Safari ya kwanza ya Treni ya Shiki-Shima ilifanywa kwa mara ya siku ya Mei Mosi. Ilijengwa kulingana na mipango na michoro ya Ken Kiyoyuki Okuyama.

No comments:

Post a Comment