Tuesday, April 4, 2017

ZAMU YANGU KUMUUNGA MKONO MKE WANGU – DKT JAKAYA KIKWETE(fourth president of TANZANIA)>>>

OBAMA & KIKWETE WITH THEIR WIVES
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amesema ameshuhudia kiapo cha Mke wake, Mama Salma Kikwete baada ya kuteuliwa hivi karibuni kuwa mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais huyo mstaafu alifuatana na baadhi ya wanafamilia yake na kushuhudia mkewe akila kiapo hicho katika bunge lililoanza leo mjini Dodoma huku akisema kuwa ni zamu yake sasa kumuunga mkono mkewe.
“Leo asubuhi nimeshuhudia kiapo cha Mke wangu Mhe. Salma Rashid Kikwete kuwa Mbunge wa Kuteuliwa Bungeni Dodoma.Ni zamu yangu kumuunga mkono,” ameandika Dkt Kikwete kupitia akaunti yake ya Twitter.
Dkt Kikwete aliingia ndani ya bunge akishangiliwa na idadi kubwa ya wabunge wa bunge hilo......
bado nakukumbusha kuwa,usipite bila kupitia youtube chanel yetu kwa taarifa,burudani na matukio kadha wa kadha,pia usiache kusubscribe ili uwe wa kwanza kupata access SUBSCRIBE TO OUR YOUTUBE CHANNEL
 

No comments:

Post a Comment