Friday, March 24, 2017

AUDIO CLIP:UFAFANUZI WA JOSEPH MUSUKUMA KASHEKU(MP-GEITA VILLAGE),KUHUSU KUANDIKA MOJA YA MABASI YAKE NENO"VYETI FEKI">>>>

Mfanyabiashara na Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma kasheku ametolea ufafanuzi kuhusu kuandika neno ‘vyeti feki’ kwenye moja kati ya mabasi yake yanayofanya safari zake kanda ya ziwa,
Musukuma ambaye ni mbunge mwenye elimu ya darasa la saba(STANDARD SEVEN) ni nini kimemfanya aandike maneno hayo ‘vyeti feki’ hususani katika kipindi hiki ambacho kumekuwa na tuhuma za baadhi ya watu(leader/leaders) kuhusishwa kutumia vyeti feki.
msikilize kwa utulivu kwa kufuata link hii maalum Ufafanuzi wa Mbunge Musukuma kuhusu kuandika neno ‘Vyeti Feki’ katika basi lake amesisitiza kwa kusema neno "vyeti feki" tafsiri yake ni hiyohiyo halitabadilika

No comments:

Post a Comment