Thursday, December 8, 2016

PRESIDENT ELECT U.S.A-DONALD TRUMP,AKATAA NDEGE MPYA AIR-FORCE ONE,SABABU KUU HII APA>>>>>

Rais Mteule wa Marekani mheshimiwa.Donald Trump amepanga kufuta bajeti ya ununuzi wa ndege mpya ya Air Force One ambayo hutumiwa na marais wa nchi hiyo.
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Trump ameandika, “Boeing is building a brand new 747 Air Force One for future presidents, but costs are out of control, more than $4 billion. Cancel order!.”
Serikali ya Marekani iliingia mkataba na kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Boeing kwa ajili ya kutengeneza ndege mbili mpya ambazo zitawabeba marais wa nchi hiyo pamoja na viongozi wengine.
Ndege hizo zinatarajia kukamilika mwaka 2024.

No comments:

Post a Comment