Takriban watu 100,000 waliingia mtaani, nusu ya watu wanaoishi kwenye mji wa Chapeco na kuingia kwenye uwanja wa timu hiyo unaochukua watu 20,000. Mvua kubwa iliyonyesha, haikuwazua waombolezaji kushuhudia tukio hilo la kusikitisha.
Miili ya watu hao ilirudishwa kwao wakati ambapo imebainika kuwa rubani wa ndege hiyo, Miguel Quiroga raia wa Bolivia alizidanganya mamlaka za Colombia kuwa ndege ilikuwa na mafuta ya kutosha kuweza kumaliza safari. Ajali hiyo ilisababisha vifo vya watu 71.
Tazama picha Zaidi:
UONGOZI WA
UNAZIDI KUTOA POLE KWA WAPENZI WA SOKA KOTE ULIMWENGUNI KUFUATIA MADHILA HAYO MAKUBWA,YALIYOWAKUTA WENZETU BRAZIL, R.I.P CHAPECOENSE
No comments:
Post a Comment