Friday, December 9, 2016

KUTOKA BONGO,TANZANIA: BARAKA THE PRINCE,BADO MDOGO,MSHAMBA,LIMBUKENI-SUMA MNAZALETI......

SUMA MNAZALETI,
MWANAMUZIKI MKALI WA RAP KUTOKA TANZANIA
dec 09 2016,mwanamuziki suma mnazaleti(31)amefunguka na kudai Baraka the prince amemkosea sana,kupitia e-newz ya EATV,suma mnazaleti amelalamika na kusema kuwa msanii Baraka the prince amemtukana sana,kisa kikiwa ni ngoma mpya ya mkali huyu iitwayo -ndele- ambamo Baraka the prince alishirikishwa kipindi cha nyuma,japo hakutokea kwenye video,kwa kuwa yupo kwenye menejiment mpya ambayo ndiyo inasimamia kazi zake,hivyo taratibu za kimkataba kumzuia kutokea kwenye video mpya  ya mkali mnazaleti,ambapo ikamlazimu suma mnazaleti kuitoa video iyo pasipo taswira ya Baraka kuonekana kitu ambacho ndio kimepelekea ugomvi wao....baada ya kulalamika kutukanwa suma akafunguka kwa kusema,baraka the prince bado mtoto,hajielewi ulimbukeni wa umaarufu unamsumbua,mie nina miaka 31 hivi sasa huyo Baraka ana mingapi,nina miaka
8 kwenye game dogo ana mingapi?dogo aache ulimbukeni alisema suma
Baraka the prince
 
hii apa video mpya ya suma mnazaleti ft Baraka the prince-ndele-
 
prepared & edited by
 
 

No comments:

Post a Comment