Monday, November 28, 2016

KATIKA KUMSHUKURU,MUNGU KWENYE SIKU YANGU YA KUZALIWA,KUTIMIZA MIAKA KADHAA,MIMI C.E.O WA MACHAS OFFICIAL SITE,NAPENDA TUSIKILIZE UJUMBE WA NENO LA MUNGU,KUPITIA WIMBO HUU>>>

MR.ENOCK B MACHA-C.E.O MACHAS OFFICIAL SITE
IT-EXPERT
 
napenda nianze kwa kumshukuru mungu,kufikia siku hii ya leo,pili wazazi wangu mr & mrs BENISON RAFAEL MACHA,ndugu zangu VICTORIA B MACHA,NICHOLAUS B MACHA,mtoto wetu joyce na ndugu zetu wote,tarehe 29 November nilizaliwa,mimi enock,natimiza miaka kadhaa,nafurahi sana kufikia umri huu,mungu wetu ashukuriwe mno,katika kushare furaha yangu katika siku hii maalum kwangu na wewe mfuatiliaji wangu wa blog hii ya "habari mseto,kutoka pande mbalimbali za dunia"napenda tusikilize pamoja wimbo huu,uitwao "natoa maisha yangu kwako,eeh yesu wangu,nisikuache hata nifike mbinguni,ulioimbwa na kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(k.k.k.t)kusini mwa Tanzania.mahubiri katika wimbo huu yatatubariki sote...
"ahsante mungu"  
 
fuatilia link hii maalum kuupata wimbo huu natoa maisha yangu kwako,eeh yesu wangu

by

No comments:

Post a Comment