Saturday, November 26, 2016

JIHAN DIMACHK,NDIYE MSHINDI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2016/2017>>>>>

JIHAN DIMACHK-THE NEWLY MISS UNIVERSE TANZANIA
DAR ES SALAAM: Mrembo Jihan Dimachk aibuka mshindi wa shindano la Miss Universe Tanzania 2016 lililofanyika Usiku wa Novemba 25, 2016.Jihan Dimachk, amezaliwa na kukulia Mwanza, amesomea nchini Mozambique na sasa anaishi Dar Es Salaam.ikumbukwe kuwa ,Jihan ni mrembo aliyeshinda taji la Miss Ilala mwaka 2014 na kuingia tatu bora Miss Tanzania mwaka huohuo, Wazazi wake ni mchanganyiko wa Tanzania/Lebanon.Nafasi ya pili ya shindano la Miss Universe 2016 ilichukuliwa na Lilian Loth kutoka Kampala University na nafasi ya tatu ilichukuliwa na Lilian Felix ambaye alikuwa anaiwakilisha UDSM.
 

No comments:

Post a Comment